Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, October 7, 2013

WAALIKWA WA MKUTANO WA SITA WA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA WAANZA KUWASILI DAR




Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akimlaki Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. Katikati ni Balozi wa China hapa nchini, Lu Youqing. (Picha na Bashir Nkoromo).













Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akimlaki Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. Kushoto ni Balozi wa China hapa nchini, Lu Youqing. (Picha na Bashir Nkoromo).















Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akiwa na mgeni wakei Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. (Picha na Bashir Nkoromo).















Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. (Picha na Bashir Nkoromo).










"PANDA GARI HILI" Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akimwelekeza  kupanda gari Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha Jamhuri ya watu ya China Ai Ping baada ya mgeni huyo kuwasili mchana huu Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano huo. Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ambacho ni rafiki mkubwa wa CCM kimealikwa kutokana na kuwa Chama kilichosaidia sana harakati za ukombozi huo wa nchi za kusini mwa Afrika. (Picha na Bashir Nkoromo).

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment