Writen by
sadataley
6:41 PM
-
0
Comments

Hayo yamesemwa na Askofu Andres Stanovnik huko Algentina akiwaasa watu kuwa wanatakiwa kuishi maisha yenye uaminifu ili kujenga mahusiano mazuri na ya kudumu na si maisha yasio na uaminifu katika ndoa baina ya wanandoa wawili.
Tunatakiwa kutazama kwa undani zaidi dalili za migogoro katika ndoa na pia katika familia zetu ili kuwezakujua ni mbinu gani ambazo zitaweza kutumika na kutokomeza kabisa hali ya kuwa na migogoro ya ndoa na familia katika maisha yetu.
Imetafsiliwa na Happy Adam
No comments
Post a Comment