Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, September 4, 2013

PICHA ZAIDI ZA MAAZISHI KUTOKA MWANZA

Landcruiser za kubebea wagonjwa wanapozidiwa na kuwakimbiza hospitali ya Bugando zikiwa tayari kwa yeyote atayehitaji huduma hiyo.

Askofu Eliudi Isanja wa Arusha


RPC wa Mwanza, Ernest Mangu

Emmanuel Mbasha

Mojawapo ya foleni za kuaga mwili
Ambulance ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania

Hapa ambulance ikipokea mtu.


Nje ya uwanja simanzi, wanafunzi wakiwa wameduwaa na kutoamini kinachoendelea
Gospel Kitaa imepiga kambi msibani, na itaendelea kukuhabarisha kinachoendelea, endelea kuwa nasi.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment