Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, September 20, 2013

Papa Francis ataka Kanisa Katoliki kuwaelewa watu wote.

Papa Francis.
Papa Francis.
Papa Francis anasemani lazima kwa kanisa Katoliki kuacha  kuangalia masuala kama ndoa za jinsia moja, utoaji mimba na matumizi ya madawa ya kuzuia mimba na badala yake liwe kanisa la kuwapokea na kuwaelewa watu wote.

Katika mahojiano yaliochapishwa jana na jarida la Civilta Cattolica Papa alionya kwamba mpaka Kanisa lipate uwiyano mpya katika desturi zake  za kuwatenganisha  watu na kuonyesha huruma , muundo wake wa masuala ya kiutashi unaweza kuanguka kama fungu la karata.

Amesema kanisa katoliki lijione kama hospitali kwenye  uwanja wa vita baada ya vita na kufanya kazi ya kuponyesha vidonda vikubwa vya kijamii  badala ya kuhangaika na kanuni ndogo ndogo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment