Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, September 4, 2013

Makamo wa Rais Dkt. Bilal Azindua Benki Mpya ya UBL Jijini Dar-es-Salaam Leo.

 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kuzindua Benki mpya ya UBL, iliyopo Mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika leo Sept 4, 2013. Kushoto na kulia kwa Makamu wa ni baadhi ya viongozi wa juu wa benki hiyo, Anwar Pervez na Atif Bakhari.
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na viongozi wa Benki mpya ya UBL, kufurahia uzinduzi wa benki hiyo iliyopo Mtaa wa samora jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika leo Sept 4, 2013. 
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa benki ya UBL iliyozinduliwa leo Sept 4, 2013 jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya UBL, Zamees Ghudrey, akizungumza wakati alitoa shukrani baada ya uzinduzi huo, uliofanyika leo
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa benki hiyo, wakimsikiliza Makamu wa Rais , wakati alipokuwa akiwahutubia kwenye uzinduzi huo. 
 Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata Keki maalum iliyoandaliwa kuashiria uzinduzi wa benki hiyo mpya ya UBL, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyika leo Sept 4, 2013. 
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi wa benki mpya ya UBL, baada ya uzinduzi wa benki hiyo uliofanyika leo, jijiniDar es Salaam. Picha na OMR
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment