Writen by
sadataley
11:28 AM
-
0
Comments
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Simu za mkononi Zantel, Pratap Ghose, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 5, 2013. Picha na OMR



No comments
Post a Comment