Writen by
sadataley
11:42 AM
-
0
Comments
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza wahandisi wote wataalamu nchini ambao wamesajiliwa na Bodi ya Wahandisi (ERB) kuapishwa wawe na hofu ya Mungu watakapokuwa wanatekeleza majukumu yao ikiwa ni pamoja na kupunguza tatizo la rushwa kwenye sekta ya ujenzi. ...kwa habari zaidi ingia http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/16104-magufuli-wahandisi-wote-waapishwe
No comments
Post a Comment