Writen by
sadataley
11:18 AM
-
0
Comments
Mchungaji Donald Kiwanga akiwakaribisha wajumbe katika Jimbo lake ili kushiriki kikao cha tathmini ya maandalizi ya Uimbaji wa Ukanda
Mchungaji Mangulisa Mchungaji Mwenyeji wa Usharika wa Mlandege akitoa maelezo ya namna Kwaya ya Dayosisi inavyojiandaa kwa ajili ya Uimbaji wa Ukanda
NA SASA NI KATIKA KUANGALIA MAZOEZI YA KWAYA YA DAYOSISI
Hapa Mkuu wa Jimbo akiitambulisha kwaya kwa Wachungaji na Wajumbe walitembelea mazoezi ya Kwaya ya Dayosisi
Baadhi ya waimbaji wa Kwaya ya Dayosisi
Na sasa ni wakati wa kutoa maoni baada ya kusikiliza nyimbo za kwaya ya Dayosisi
Mwenyekiti wa Idara ya Muziki ya Dayosisi Mzee Francis W. Mwakatundu akiwashukuru waimbaji mara baada ya kupokea maoni toka kwa wajumbe wa tathimini
Baadhi ya washiriki wakiimba wimbo wa pamoja ili kufunga
Pichani baadhi ya waimbaji wa kwaya ya Dayosisi
No comments
Post a Comment