Writen by
sadataley
12:45 PM
-
0
Comments

Papa Francis alipokuwa katika Kanisa la Mtakatifu Petro
"Tunaweza kujiuliza, kwamba hazina zetu zaweza patikana wapi? Nini ni ukweli kwa ajili yetu,ni ukweli kwamba mioyo yetu huvutia wengine kama sumaku? Naweza kusema kwamba ni upendo wa Mungu "Papa Francis aliuliza umati wa watu katika kanisa la Mtakatifu Petro Agosti mwezi huu na kutoa majibu ya maswali hayo.Katika injili waliyoisoma, Papa Francis alisema, inatuambia kwamba Mkristo "ni yule ambaye hubeba ndani yake mwenyewe hamu kubwa na makubwa katika kufanya matendo mema ambayo yatatupendeza hapa duniani na mbinguni pia"
Hii ni kweli kwa kila Mkristo, alibainisha Papa Francis. Baadhi wanaweza kupinga, "lakini kwaupande wakina baba huweza kusema kwamba mimi ni mfanyakazi, nina familia,hivyo basi huweza hata kudiriki kwa kusema kwamba wao huweza kutumia muda mwingi katika familia kuliko kumwabudu Mungu.
kwakupata mengi zaidi http://www.catholicnewsagency.com/news/pope-francis-what-attracts-our-hearts-like-a-magnet/
No comments
Post a Comment