Writen by
sadataley
10:55 AM
-
0
Comments
Papa Francis (kulia)
Hayo yalisemwa na Papa Francis alipokuwa akiwaasa vijana kujitenga ba matumizi ya madawa ya kulevya na kuacha tabia ya unywaji wa pombe wa kupindukia kupita kiasi na badala yake kujikita katika maendeleo ya jamii "Alisema Papa Francis"
Pia aliongezea kwa kusema kwamba, katika jamii yawezekana mtu/kijana asipotumia madawa ya kulevya au unywaji wa pombe wa kupidukia anaweza kuwa msaada mkubwa katika jamii a mtu aambaye atahitajika na kutegemewa katika jamii kwa maendeleo ya kwake na jamii kwa ujumla.
Hata hivyo alionekana akiongea katika sura yenye furaha na amani kwa kusema kwamba yeye pia ataongeza maombi yake kwa upande wa watu watumiao madawa ya kulevya na unywaji wa pombe kwan si sawa mtu kushindia katika ulevi tu.
Imetafsiriwa na Happy Adam
No comments
Post a Comment