Writen by
sadataley
1:58 PM
-
0
Comments
Huyo ndiye Mfalme wa Jordan ajulikanaye kama Mfalme Abdullah wa II anayetegemea kukutana na Papa Francis ili kuweza kujadili juu ya mgogoro wa Syria.
Hayo yamesemwa na Papa Francis mara tu baada ya Mataifa mbalimbali kuwaza juu ya uwezekano wa kuweza kutumia njia mbalimbali ambazo zitaweza kusaidia katika kupunguza mapigano na migogoro baina ya watu wa Syria
Pia Mfalme wa Jordan ameweza kusema kwamba ni idadi ya watu wengi ambao waliweza kukimbilia huko Jordan na kuweza kupata hifadhi ya muda mfupi, watu hao wameweza kufikia idadi ya zaidi ya 500,000.
No comments
Post a Comment