Writen by
sadataley
9:25 PM
-
0
Comments
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya CCM leo hii mjini Dodoma

Pichani Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera Constancia Muhiye akiwa na Katibu wa Mkoa huo Bw. Abeid Mushi wakisubiri kukutana na Kamati Kuu ya Chama leo hii

Mbunge wa Bukoba Mjini Balozi Hamis Kaghasheki akiwasili viwanja vya Mkutano leo hii.
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi
No comments
Post a Comment