Writen by
sadataley
11:53 AM
-
0
Comments
Papa Francis alipokuwa akiongea na mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Alejandra Pereyra
mwanamke huyo ambaye alifanyiwa kitendo cha ubakaji alijikuta akiwa katika bumbuwazi alipopigiwa simu na Papa Francis mara baada ya kuandika barua aliyojieleza juu ya unyama aliofanyiwa.
Alejandra Pereyra mwenye umri wa miaka 44 ambaye ni mwanamke huyo aliyefanyiwa kitendo hicho cha ubakaji alisema kwamba "alijihisi kanakwamba ni kama mtu aliyeshikwa na mkono na Mungu" ni mara baada ya kuongea na Papa Francis kwa muda wa nusu saa.
Imetafsiriwa na Happy Adam
No comments
Post a Comment