Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, August 15, 2013

Marekani yaahidi kuwakabili Boko Haram

Waziri anayehusika na maswala ya kisiasa nchini Marekani, , amesema kuwa marekani iko tayari kuisaidia Nigeria kupigana na watu wanaozingatia itikadi kali za kiislamu.
                                                                  Wendy Sherman
Bi Sherman yuko nchini Nigeria kujadili maswala ya kiusalama.
Amesema kuwa maasi ya kundi la wanamgambo wa kiislamu la Boko Haram limedumaza maendeleo ya taifa hilo na kuchochea chuki za kikabila.
Kadhalika ametoa wito kwa jeshi la Misri kuwaadhibu wanajeshi waliowauwa raia.
Kundi la Boko Haram, ambalo linajaribu kubuni taifa la kiislamu katika eneo la kaskazini mwa taifa hilo limetekeleza msururu wa mashambulizi katika maeneo mbali mbali ya kaskazini mwa Nigeria. which is trying to establish an Islamic state in the north of the country, has carried out waves of attacks across the region.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment