Writen by
sadataley
5:28 PM
-
0
Comments
HI NI BAADA YA KUKIRI WAZI KUWA SASA HAKUNA KIZUIZI CHA KUTOWATANGAZA MABABA WATAKATIFU WAWILI YAANI BABA MTAKATIFU YOHANE WA II NA BABA MTAKATIFU YOHANE WA XXIII
NA VIONGOZI WAANDAMIZI WA VATICAN WANASEMA HAIJAWAHI TOKEA KWA MAPAPA WAWILI KUTANGAZWA WATAKATIFU KWA MARA MOJANA IMEONEKANA KAMA AMEVUNJA TARATIBU ZA VATICAN KWANI HATA VIGEZO VYA KUWATANGAZA BADO VINAONEKANA KAMA NI VYA KIMAAJABU KUTOKEA .
BABA MTAKATIFU FRANCIS I AKIWA AMEPIGA MAGOTI MBELE YA KABURI LA BABA MTAKATIFU YOHANE WA XXIII HII ILIKUWA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MIKA 50 KIFO CHAKE. JUNI 3,2013 KATIKA KANISA KUU LA MTAKATIFU PETRO
No comments
Post a Comment