Writen by
sadataley
3:46 PM
-
0
Comments
Rais wa Nicaragua Daniel Ortega
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro
Habari zilizodhititishwa toka huko Caracas-Venezuela zinasema kuwa aliyekuwa mtumishi wa ngazi ya juu katika shirika la Ujasusi la Marekani (NSA) aliyeasi na kutoa siri za kijasusi kwa mataifa mengine. hatimaye apata hifadhi huko Nicaragua na Venezuela. Viongozi wa mataifa hayo wameonesha wazi utayari wa kutoa hifadhi kwa bwana Edward Snowden.
No comments
Post a Comment