Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, July 12, 2013

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE KATIKA MAJUKUMU YAKE


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hamisi Amir Msumi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Celina Augustine M. Wambura kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali wakipiga picha ya pamoja na Mwenyekiti mpya wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Serikali Mhe Hamisi Amiri Msumi pamoja na wajumbe wapya Mhe Hilda A. Gondwe na Mhe Celine Augustine M. Wambura na viongozi wa Tume hiyo jana  Ikulu jijini Dar es salaam.

 PICHA  NA IKULU
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment