Writen by
sadataley
8:24 AM
-
0
Comments
NI MZEE JOHN MSANGASI MSIGOMBA
MZEE JOHN M. MSIGOMBA ENZI ZA UHAI WAKEMKUU WA JIMBO LA KASKAZINI MCHUNGAJI DONALD KIWANGA AKIONGOZA IBADA YA KUMUAGA MZEE MSIGOMBA
WATOTO WA MAREHEMU AKIWA NA MCHUNGAJI DKT. ANDREW KYOMO
BAADHI YA WACHUNGAJI WAKIWA KATIKA IBADA HIYO
MWENYEKITI WA KAMATI YA MAZISHI MZEE NGWALE AKITO AMATANGAZO
NI WAKATI WA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO NA HAPA NI MCHUNGAJI A. MWAGOGO
MCHUNGAJI MARTIN HAULE
NI WAKATI WA FAMILIA SASA
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKIWA NA MCHUNGAJI A. MURO
TAYARI KUELEKEA ILULA
ASKOFU YESAYA MENGELE AKIWA NA KATIBU MKUU BW. NAYMAN CHAVALLA
VIONGOZI WA IBADA WAKIWA NA MCHUNGAJI DKT. KYOMO
MWILI WA MAREHEMU KUINGIZWA KANISANI TENA
ASKOFU YESAYA MENGELE AKIFUNGUA IBADA
KATIBU MKUU BW. NAYAMAN CHAVALLA AKIKARIBISHA WAGENI KUTOA SALAM
MZEE ARON MUSSA AKITOA SALAM ZA USHARIKA WA KIHESA
MBUNGE WA VITI MAALUM ( IRINGA) BI. RITHA KABATI AKITOA SALAM
KATIBU MKUU WA DAYOSISI YA KUSINI BW. TIMIAS MHOMISOLI AKITOA SALA ZA DAYOSISI
KIJANA WA MAREHEMU DKT. ERICK MSIGOMBA AKIANDAA MWILI TAYARI KWA KUAGWA
FAMILIA IKITOA SALAM ZA MWISHO IKIONGOZWA NA ASKOFU MENGELE
SALA YA BWANA IKIOMBWA KAMA HITIMISHO
SASA NI TAYARI KWENDA MAKABURINI
MJANE WA MAREHEMU BI. FOIBE MSIGOMBA AKIWA NA BINTI YAKE MKUBWA
NI PADRI ULUNGI AKIWA NA MCHUNGAJI ANTA MURO
NI PADRI ULUNGI , MCHUNGAJI ANTA MURO NA MCHUNGAJI OWINY REQUEST
TAYARI MAKABURINI
JENEZA LILOBEBA MWILI WA MAREHEMU LIKISHUSHWA KABURINI
ASKOFU YESAYA MENGELE AKITAFAKARI JAMBO
KUWEKA UDONGO MARA YA MWISHO
KUWEKA MSALABA NA UWEKAJI WA MASHADA YA MAUA
ASKOFU MENGELE AKIWEKA SHADA NA MSAIDIZI WA ASKOFU
MJANE WA MAREHEMU BI. FOIBE MSIGOMBA AKIWEKA SHADA
WATOTO SASA
NDUGU JAMAA NA MARAFIKI SASA
MBUNGE WA KILOLO PROFESA MSOLA AKIWEKA SHADA YA MAUA
WAJUKUU NA HAPA NI MHIMIDINI
MCHUNGAJI DONALD KIWANGA AKIWEKA SHADA LA MAUA
No comments
Post a Comment