Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, July 12, 2013

PAPA FRANCIS:JINSI MABADILIKO YA KISHERIA YANAVYOWEZA KUJIBU MABADILIKO YA UTANDAWAZI



Profesa Giuseppe Dalla Torre(kushoto) na Baba Federico Lombardi(kulia) Wakiwasilisha mabadiliko yaliyofanywa na Papa Francis mwezi huu julai,ikisindikizwa na kifungu cha jinai.

Kwahatua ya mbele kabisa Vatikani imeweza kuyaweka waziwazi matendo yote ya kiunyanyasaji kama vile; unyanyasaji wa watoto na mauaji ya kimbari - na kuwezesha Kitakatifu mashitaka yoyote ya viongozi wake ambao hufanya uhalifu nje ya kuta zake.


Na pia katika Mataifa ni matumizi yasiyofaa katika masoko na ya uchumi, pamoja na ugaidi," Papa Francis alisema hayo katika kifungu cha tamko lake la 11 Motu Proprio.

"Kwa hiyo ni muhimu kwa jumuiya ya kimataifa kupitisha vyombo vya kutosha vya kisheria katika kuzuia na kukabiliana na shughuli za uhalifu, kwa kukuza ushirikiano wa kimataifa wa mahakama ya juu ya masuala ya jinai"
kwahabari zaidi tembelea;http://www.catholicnewsagency.com/news/popes-legal-changes-respond-to-globalization-of-crime/
Imewekwa na Happy Adam
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment