Writen by
sadataley
8:17 AM
-
1
Comments

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akifafanua jambo wakati wa uwekaji saini wa Mkataba wa makubaliano mradi wa umeme Kinyerezi III

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco nchini Mhandisi Felchemi Mramba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
.jpg)
Barozi wa China nchini Mh. Lu Young akiongea na waandishi wa habari wakati wa uwekaji saini makubaliano wa mradi wa umeme wa Kinyerezi III

Baadhi wa wajumbe toka kampuni ya China Power Investment wakifuatilia zoezi la uwekaji saini makubalianao ya uzalishaji wa Umeme kwa mradi wa Kinyerezi III

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco nchini Mhandisi Felchemi akisaini hati ya makubaliano ya uzalishaji wa umeme wa megawati 600 kwa kutumia gesi asilia.
Habari na picha kwa hisani ya Issa Michuzi
KWELI SASA NI STRUGGLE FOR TANZANIA
ReplyDelete