Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, July 17, 2013

MKATABA WA UZALISHAJI UMEME WA MEGA WATI 600 WA MRADI WA KINYEREZI III WASAINIWA


 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akifafanua jambo wakati wa uwekaji saini wa Mkataba wa makubaliano mradi wa umeme Kinyerezi III

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco nchini Mhandisi Felchemi Mramba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari

Barozi wa China nchini  Mh. Lu Young akiongea na waandishi wa habari wakati wa uwekaji saini makubaliano wa mradi wa umeme wa Kinyerezi III

Baadhi wa wajumbe toka kampuni ya China Power Investment wakifuatilia zoezi la uwekaji saini makubalianao ya uzalishaji wa Umeme kwa mradi wa Kinyerezi III

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco nchini Mhandisi Felchemi akisaini hati ya makubaliano ya uzalishaji wa umeme wa megawati 600 kwa kutumia gesi asilia.

Habari na picha kwa hisani ya Issa Michuzi
« PREV
NEXT »

1 comment