Writen by
sadataley
10:11 AM
-
0
Comments
Mbunge Msigwa na mkuu wa wilaya ya Iringa wakitazama ndizi aina ya Jamaica inayolimwa Mtwivila Iringa iliyoletwa katika maonyesho ya serikali za mitaa leo Mjini Iringa
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini akiwasili jukwaa kuu na kusalimiana na mkuu wa Wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba |
Hapa Mbunge Msigwa akisalimiana na Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Gervas Ndaki |
Mtaalam kutoka AMREF Bi Stellah akitoa maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na AMREF |
Mhandisi wa Manispaa ya Iringa Mashaka Luhamba akitoa maelezo ya idara ya ujenzi inavyofanya kazi katika Manispaa ya Iringa ambao kwa sasa wamepiga hatua katika ukarabati wa barabara za mitaa |
Mkuu wa wilaya ya Iringa Dr Leticia Warioba akimtazama kwa makini askari wa kikosi cha zimamoto mjini Iringa akionyesha jinsi ya kuzima moto |
No comments
Post a Comment