Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Monday, July 15, 2013

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO "CHADEMA" CHASHINDA UCHAGUZI WA MADIWANI HUKO ARUSHA

Uchaguzi uliofanyika leo Jumapili, Julai 14, 2013 wa kuwapata madiwani wa Kata Nne --Themi, Kaloleni,
Kimandolu na Elerai-- za mkoani Arusha umemalizika.

Huku Tume ya Uchaguzi ikisubiriwa kuwatangaza rasmi washindi, taarifa za awali zinasema kuwa CHADEMA
imepata ushindi kwa kunyakua Kata zote Nne kama ifuatavyo:

THEMI:  CHADEMA 678 (Edmund Mallance Kinabo); CCM 326 (Victor Mkolwe ); CUF 313 (Lobora Ndaproi)
KIMANDOLU: CHADEMA 2,665 (Rayson Elishadai Ngowi); CCM 1,169 (Edna SaulKALOLENI: CHADEMA 1,470
(Kessy Lewi); CCM 530 (Emmanuel Miliare); CUF 275 (Darwesh Mkindi) na  Demokrasia Makini (Ngilishi Pauli)

ELERAI: CHADEMA 1,715 (Jeremiah Mpinga); CCM 1,239 (Emmanuel Laizer ); CUF 213 (Gilbert Bayo) na
vyama ambavyo wagombea ambao kura zao zilikuwa hazijafahamika CCK (Seif Shimba) na TLP (Boisafi Shirima)

Vyama vingine vilivyoshiriki vilikuwa ni TLP, CCK na Demokrasia Makini.

PICHA MBALIMBALI  KATIKA UCHAGUZI HUO






Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/07/matokeo-ya-uchaguzi-katika-kata-nne-za-arusha.

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment