Writen by
sadataley
12:51 PM
-
0
Comments
UZINDUZI WA DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI LEO HAPA MTWARA
Katibu Mkuu wa Kanisa Bw. Brighton Kilewa akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Kusini Mashariki Mwl. Jane Kambo
Neno Msalaba Mbele Dunia Nyuma tayari kwa maandamano
Mama Edith Siyovelwa mwenyekiti wa Kwaya Kuu ya dayosisi ya Iringa naye alikuwepo
Brown Lee ndiye mtoto aliyeshiriki katika kusikwa kwa Askofu Mbedule kutoka Iringa akiwa na baba yake Bw. Brown Emmanuel
Baadhi ya Wachungaji toka Dayosisi mbalimbali tayari kwa maandamano
Mchungaji Pindua Msambaye ndiye aidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Morogoro naye alikuwepo
Maaskofu wakisubiri kupokea maandamano
Maaskofu wakisubiri kupokea maandamano
Askofu Mteule akifuatilia taratibu za ibada ya uzinduzi wa Dayosisi kwa uakini
Askofu Dkt. O.M Mdegella ambaye kwasasa ndiye Askofu mwenye miaka mingi kam Askofu (The most senior Bishop)
Kwaya Kuu ya Dayosisi ya Iringa tayari kwa kuimba naye alikuwepo
Baadhi ya wake za Maaskofu wakishiriki maandamano
Wasadizi wa Maaskofu katika maandamano
Askofu Ngonyani wa RC_Jimbo la Lindi
Askofu Mteule kabla ya kusimikwa
Askofu Makala wa Dayosisi ya Kaskazini mwa Ziwa Victoria
Askofu Alex Mkumbo wa Dayosisi ya Kati(Singida)
Askofu Kinyunyu wa Dayosisi ya Dodoma
Askofu Levis Sanga wa Dayosisi ya Kusini Kati (Makete)
Askofu Reihard Mtenji wa Dayosisi yaUlanga Kilombero
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Newala, Oscar Mnung’a
Askofu Dkt.O.M Mdegella akishauriana jambo na Askofu Yesaya Mengele
Katibu Mkuu wa kanisa akisoma hati ya Dayosisi ya Kusini Mashariki
Askofu Yesaya Mengele akisoma amneno ya utangulizi wakati wa uzinduzi wa Dayosisi ya Kusini Mashariki
Mmiliki wa Blog hii Mchungaji Kurwa sadataley akifuatilia matukio wakati wa uzinduzi wa Dayosisi
Askofu Dkt. Benson Bagonza akisoma Neno
Askofu Yesaya Mengele akisoma Neno
Askofu Paul Akyo akisoma Neno
Askofu Amoni Kinyunyu wa Dayosisi ya Dodoma akisoma Neno
Maafisa wa Dayosisi ya Kusini Mashariki wakijibu sehemu ya kiapo cha kuzinduliwa Dayosisi ya kuzini wa pili ni Msaidizi wa Askofu Mteule na anayefuata ni Askofu Mteule Lucas Mbedule
Maneno rasmi ya uzinduzi wa Dayosisi ya Kusini Mashariki
Tayari kwa uzinduzi wa Mnara wa Dayosisi mpya
Tayari uzinduzi rasmi wa Dayosisi ya Kusini Mashariki umekamilika
Dayosisi ya Kusini Mashariki
Mkuu wa Kanisa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa eneo litakapojengwa Kanisa Kuu
Dayosisi ya Kusini Mashariki
Ulinzi ulikuwa umeimarishwa sana
Mama Mchungaji Donald Kiwanga naye alikuwepo akitokea Dayosisi ya Iringa
Wasaidizi wa Maaskofu wakisikiliza kwa umakini mkubwa
Wageni toka nchi za nje
Wageni kutoka Finland
Wazazi wa Askofu Lucas Mbedule
Wake za Maaskofu
Mama Askofu Dkt. O.M Mdegella
No comments
Post a Comment