Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, March 10, 2018

Wanyama apata tuzo ya bao bora England


Kiungo wa kimataifa wa Kenya, Victor Wanyama wa Tottenham Hotspur akiwa ameshika tuzo yake ya Bao Bora la Mwezi Ligi Kuu ya England alilofunga kwenye mechi dhidi ya Liverpool. Wanyama amewashinda Danilo, Mario Lemina, Jose Izquierdo (twice), Mohamed Salah, Sergio Aguero na Adam Smith kutwaa tuzo hiyo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment