Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, March 8, 2018

Mwili wa mchezaji wa Fiorentina ulivyowasili kanisani kupewa heshima ya mwisho

 Mwili wa marehemu Davide Astori ambaye alikuwa mchezaji na kepteni wa Fiorentina, umeagwa leo na kupewa heshima za mwisho kwenye kanisa la Santa Croce church, Florence huku maelfu ya watu na mastaa mbali mbali wa soka wakihudhuria. Hapa nchini ni picha za mwili huo ulipowasilishwa kanisani hapo.




« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment