Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, April 13, 2017

MAJALIWA AHITIMISHA MAKADIRIO YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU

jal1
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhitimisha  Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
jal2
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri  Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Anthony Mavunde wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha  Hoja yake ya Makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Waziri  Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
jal3
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuhitimisha  Hoja yake ya Makadirio ya Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2017/2018, bungeni mjini Dodoma Aprili 12, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment