Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Monday, June 5, 2017

Tanzia: Balozi huyu Afariki Dunia


Mkuu wa Itifaki mstaafu Balozi Cisco Mtiro amefariki dunia katika Hospitali ya Aga Khan  jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Cisco Mtiro alikuwa Balozi wa Tanzania nchi za Malaysia, Phillipines, Cambodia, Singapore na Laos.

Kwa mujibu wa familia yake, msiba upo nyumbani kwa marehemu Mikocheni B jijini Dar es salaam ambapo taratibu za mazishi zinaendelea na taarifa zitatolewa mara tu zitapokamilika.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi – AMINA

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment