Latest News

GNM Cargo

GNM Cargo
GNM CARGO & LOGISTICS

menu

Monday, June 5, 2017

AFC Leopards kuchuana na Singida Utd

Tanzania

Haki miliki ya pichaGOOGLE
Image captionTimu ya AFC Leopards ikijifua
Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati ya Gor Mahia Vs Jang'ombe Boys Fc.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment