Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, November 11, 2016

RAIS MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU SAMWEL SITTA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 11,2016


1Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akimpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spikaal wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
2

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MAMIA YA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU SAMWEL SITTA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 11,2016Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia na Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa alipofika kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,201
41Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na makamu wa Rais Samia Hassan Saluhu,  wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
1fgsfsxgxvgRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
unnamed-1Rais Mstaafu wa awamu awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiaga mwili wa Marehemu Samwel John Sitta Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Novemba 11,2016
3



Habari kwa hisani ya Ikulu Blog
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment