Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Thursday, July 2, 2015

Uhuru Kenyatta ndio rais bora Afrika

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amechaguliwa na muungano wa wanafunzi wa Vyuo vikuu barani Afrika AASU kama rais bora barani Afrika mwaka huu. Muungano huo unasema kuwa maelfu ya wanafunzi kutoka kote barani walishiriki katika kura hiyo. Bwana Kenyatta alichaguliwa kwa uwezo wake wa kujenga makubaliano kitaifa na kimataifa,juhudi zake za kubadilisha sera na kutoa ufumbuzi katika maswala yanayowaathiri wakenya. Rais wa Rwanda Paul Kagame alishinda tuzo hiyo mwaka uliopita. Source:BBC swahili
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment