Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, July 5, 2015

Nigeria yampiga kalamu mkufunzi Keshi

Stephen Keshi amepigwa kalamu kama kocha wa timu ya Nigeria The Super Eagles na nafasi yake kuchukuliwa na Shaibu Amodu kulingana na shirikisho la soka nchini Nigeria NFF. Hatua hiyo inajiri wiki mbili tu baada ya shirikisho hilo kuanzisha uchunguzi kuhusu ripoti kwamba Keshi alituma ombi la kutaka kuifunza Ivory Coast licha ya kuwa na kandarasi halali na Nigeria. Keshi hivi majuzi alidai kwamba wakala ambaye hakumtaja aliwasilisha jina lake bila ruhusa yake kuwania wadhfa huo wa timu ya Ivory Coast.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment