Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, June 13, 2015

Vyama 17 kususia uchaguzi Burundi

Kundi moja la vyama 17 nchini Burundi limekubaliana kususia uchaguzi mkuu wa mwezi ujao likisema kuwa hautakuwa huru na haki. Upinzani unasema kuwa rais Pierre Nkurunziza hafai kuwania muhula wa tatu. Pia wanataka uchaguzi huo kuahirishwa ,msimamo unaoungwa mkono na viongozi wa eneo hili. Taifa la Burundi limekumbwa na maandamano na majaribio ya mapinduzi yaliofeli tangu rais Pierre Nkurunziza kutangaza mwezi Aprili kwamba atawania muhula mwengine.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment