Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, June 21, 2015

Mwandishi wa aljazeera akamatwa Ujerumani

Kituo cha runinga cha Al Jazeera kinasema kuwa mmoja wa waandishi wake wa habari amekamatwa nchini Ujerumani kufuatia ombi la Misri. Ahmed Mansour, ambaye anafanya kazi na idhaa ya kiarabu ya al Jazeera alizuliwa alipojaribu kupanda ndege kutoka Berlin kwenda nchini Qatar. Polisi nchini Ujerumani wanasema kuwa bwana Mansour amezuiliwa kufuatia waranti ya kimataifa ya kutaka akamatwe kutoka kwa utawala nchini Misri. Mahakama nchini Misri ilimhukumu Mansour kifungo cha miaka 15 jela kutokana na mashtaka ya mateso. Aljazeera imeyataja mashtaka hayo kuwa ya uongo.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment