Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, June 3, 2015

Kenya Airways yarudisha safari za S.Leone

Shirika la ndege la Kenya limeanza tena kusafirisha wateja wake baina ya miji ya Nairobi na Freetown nchini Sierra Leone. Ni shirika la kwanza kurejea nchini humo baada ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kuzuka mwaka uliopita. Idadi ya maambukizi inapungua na kumekuwa na watu 12 tu waliopata maradhi hayo katika wiki moja iliyopita. Shirika la ndege la Ufaransa pia linatarajiwa kurejea nchini humo baadaye mwezi huu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment