Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, June 3, 2015

Ghana yaicharaza Argentina

Ghana ilinusurika na kuishinda Argentina 3-2 katika kundi Ba la michuano inayoendelea ya kombe la dunia la vijana wasiozidi umri wa miaka 20. Benjamin Tetteh,Clifford Aboagye na Penalti ya Yaw Yeboah iliipatia Ghana mabao 3-0 kufikia dakika ya 70. Lakini Giovanni Simeone na Emiliano Buendiabefore alifunga bao la pili ikiwa zimesalia dakika 10. Matokeo hayo yanamaanisha kuwa Ghana ina pointi nne pamoja na Austria ambayo awali waliifunga Panama 2-1 . Lakini vijana hao wa Black satelite wanaongoza kunda ba kwa tofauti ya mabao.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment