Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Saturday, May 2, 2015

Waandalizi wa maandamano waonywa Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameonya kuwaadhibu vikali wote wanaopanga maandamano ya raia dhidi yake. Kwenye hotuba aliyowasilisha kupitia kituo cha radio ya serikali, siku ya Leba Dei, Kiongozi huyo amesema serikali itaweka vikwazo vikali dhidi ya wale aliowataja kama waasi. Aidha amesema jopo maalum la mahakama limeundwa kuchunguza maandamano ambayo yameingia siku ya sita sasa. Waandamanaji wanapinga hatua ya Rais huyo kuwania muhula wa tatu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment