Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Wednesday, May 13, 2015

Barcelona yatinga fainali

Miamba ya soka ya Hispania Barcelona, wamefanikiwa kutinga fainali baada ya kuibwaga Bayern Munich kwa jumla ya mabao 5-3 yaliyopatikana katika mikondo yote miwili waliyokutana kwenye hatua ya nusu fainali. Katika mchezo wa usiku wa kuamkia leo ambao ulipigwa ndani ya dimba la Allinza Arena, Bayern walipaswa kushinda goli nne bila ili kupata tiketi ya kusonga mbele. Lakini mpaka kipyenga cha mwisho kinapulizwa the Bavarian 3, Barcelona ikipata mabao 2. Na baadae leo usiku kutakuwa na mchezo kati ya Real Madrid dhidi ya Juventus kwenye dimba la Benabeu.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment