Writen by
sadataley
5:17 PM
-
0
Comments
Rais Joackim Gauck
Akiwa katika ziara yake maalum kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete Rais Joackim Gauck atatembelea Makao Makuu ya KKKT,Dayosisi ya Mashariki na Pwani na kuwa na mazungumzo na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alex Malasusa,"alisema Balozi Reyels jana.
Balozi Reyels, alieleza sababu ya Rais huyo kutembelea kanisa hilo na kusema kuwa, "Kanisa hilo linahistoria kubwa na Ujerumani kwani lilijengwa na Wajerumani takriban miaka 100 iliyopita...hata hivyo Rais mwenyewe aliwahi kuwa mchungaji kabla ya kuwa na wadhfa alionao sasa
No comments
Post a Comment