Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, February 6, 2015

Nigeria:Ratiba ya Uchaguzi ni ileile

   
Uchaguzi wa Nigeria kufanyika Tarehe 14 mwezi huu ilhali hali ya usalama ni tete katika baadhi ya maeneo nchini humo
Nigeria imesema itafanya uchaguzi wa Urais jumamosi ijayo kama ilivyopangwa.Uamuzi huo umekuja baada ya mkutano uliofanyika kwa saa saba mjini Abuja kati ya Wagombea, Magavana wa Majimbo na Tume ya uchaguzi.
Hakuna kituo chochote cha kupiga kura kitakachokuwepo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, ambapo Wanamgambo wa Boko Haram wamekuwa wamekuwa wakidhibiti.
Watu waliokimbia mapigano watapata fursa ya kupiga kura katika maeneo mengine,ingawa bado taarifa za kina zinatakiwa kutolewa.
Baadhi ya majimbo yametangaza siku za mapumziko kwa ajili ya kuhakikisha kuwa Watu wanapata nafasi ya kuhakikisha kuwa wako katika orodha ya wapiga kura.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment