Writen by
sadataley
7:39 PM
-
0
Comments
ASKOFU DKT. MDEGELA AWAASA WACHUNGAJI KUTOJIINGIZA KWENYE SIASA
Askofu Dkt. Owdenburg Moses Mdegella
ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Dkt. Owdenburg Mdegela amewataka Wachungaji wa Kanisa hilo kutojihusisha kwenye na masuala ya kisiasa.
Askofu Dk Mdegela amesema kwamba sio rahisi kwa wachungaji kuliongoza Kanisa kama wanavyotakiwa kufanya ikiwa watajiingiza kwenye siasa.
Amesema ni wakati wa Wachungaji hao kutafakari na kuiacha kazi ya siasa ifanywe na wanasiasa wenyewe badala yake waendelee na kazi yao ya kulinda Kanisa.
No comments
Post a Comment