Writen by
sadataley
10:55 PM
-
0
Comments
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UFUGAJI NYUKI AFRIKA LEO JIJINI ARUSHA.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama ngoma alipowasili kufungua kongamno la ufugaji nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) leo Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wapili kushoto) na Wahadzabe kutoka wilaya ya Mkarama Singida, Waidona Wazael (kulia) na mwanae Jacob Edward katika kongamano la Ufugaji Nyuki Afrika lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitazama mazao mbalimbali yanayotokana na nyuki katika maonyesho yaliyokwenda sambambamba na Kongamano la Ufugaji Nyuki Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 11, 2014. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na kushoto kwake ni Mhamasishaji wa ufugaji nyuki na usindikaji asali wilayani Loliondo, Krystern Erickson.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaonyesha wazee wa kabila la Wahadzabe asali iliyofungashwa tayari kwa kuuzwa katika Kongamano la Ufugaji nyuki barani Afrika lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa chaArusha ( AICC) Novemba 11, 2014. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Vincent Ole Kone, wapili kulia ni Maidona Wazael na watatu kulia ni Jacob Edward.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea tuzo ya Uhamasishaji na Ufugaji bora wa nyuki kutoka kwa Rais wa Chama cha Wafugaji Nyuki Duniani, Gilles Ratia katika kongamani la ufugaji nyuki barani Afrika lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Novemba 11, 2014. Katikati ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha tuzo ya Uhamasishaji na Ufugaji bora wa nyuki aliyokabidhiwa na Rais wa Chama cha Wafugaji Nyuki Duniani, Gilles Ratia (kushoto) katika kongamano la ufugaji nyuki barani Afrika lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014. Katikati ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati alipofungua Kongamano la Ufugaji Nyuki Barani Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu vifaa vya kukamulia asali kutoka kwa watalaam wa Kichina, Huang Hejie (kushoto) na Zhinyong Wang (watatu kushoto) katika kongamano la Ufugaji Nyuki Afrika lililofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 11, 2014.(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments
Post a Comment