Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Tuesday, November 11, 2014

MAKINDA AHUDHURIA MISA YA MAZISHI YA RAIS WA ZAMBIA MICHAEL SATTA 
Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda na rais mstaafu Rupia Banda, mara baada ya Kuwasili katika Viwanja vya Bunge kushiriki Misa ya mazishi ya rais wa Zambia, Marehemu Michael Chilufya Satta mjini Lusaka Zambia leo Jumatatu Novemba 10, 2014. Rais Satta, aliyefariki wiki iliyopita kwa maradhi akiwa na umri wa miaka 77 anatarajiwa kuzikwa Jumanne Novemba 11, 2014

Wanajewshi wakiwa wamebeba jeneza lenya mwili wa marehemu Satta kwenye viwanja vya Bunge la Zambia

Spika Makinda, akiwa na viongozi wenzake kwenye misa hiyo

Makinda akisalimiana na Mama Maureen Mwanawasa Mke wa aliyekuwa Rais wa Zambia wa awamu wa tatu marehemu Mhe. Levy Mwanawasa

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake yatakayofanyika Jumanne Novemba 11, 2014
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment