Writen by
sadataley
6:19 PM
-
0
Comments
Askofu Tarticius Ngalalekumtwa akisalimian na Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Edward Lowasa jana 
Askofu Tarticius Ngalalekumtwa akisalimian na Rais Mstaafu Mh.Benjamini W. Mkapa katika Jubilei yake ya miaka 25 ya Uaskofu
Askofu Tarticius Ngalalekumtwa akiwa na wasaidizi wake tayari kwa kuanza kwa misa ya kuadhimisha Jubilei yake ya miaka 25 ya Uaskofu wake
Tayari Misa inaendelea sasa

Haya na tukaribie tushiriki Mwili na Damu ya Yesu

Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Askofu Severine Niwemugizi akisalimu katika Jubilei hiyo

Watoto wa Halaiki sasa

Maelfu ya watu toka sehemu mbalimbali wakifuatilia Misa maalum ya Jubilei hiyo hapo jana
Picha kwa hisani ya othmanmichuzi.blogspot.com
No comments
Post a Comment