Writen by
sadataley
2:11 PM
-
0
Comments
Serikali ya Tunisia imefutilia
mbali mkutano wa dharura wa mataifa ya kazkazini mwa Afrika ili
kuzungumza kuhusu mzozo wa kisiasa nchini Libya.
Msemaji wa wizara ya maswala ya kigeni nchini
Tunisia Mokhtar Chao-uachi amesema kuwa wameshindwa kupata mtu
atakayeiwakilisha serikali ya Libya kufuatia makabiliano ya mamlaka
katika serikali hiyoMataifa matano ya muungano wa mataifa ya kiarabu yalitarajiwa kukutana hii leo katika mkutano mkubwa ambao ungehusisha Libya ,Umoja wa Mataifa ,Marekani na muungano wa Ulaya.
No comments
Post a Comment