Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Sunday, January 12, 2014

Makubaliano ya Iran yapatikana

Marekani, Umoja wa Ulaya na Iran zimesema kuwa maelezo yote kuhusu makubaliano muhimu ya mradi wa nuklia wa Iran yamemalizwa, na mkataba huo utaanza kutekelezwa tarehe 20 Januari.
Wajumbe katika makubaliano  kuhusu mradi wa nuklia wa Iran
Rais Obama amekaribisha makubaliano hayo ambayo yalimalizwa kwa ukamilifu juma lilopita kwenye mazungumzo mjini Geneva.
Kufuatana na makubaliano, Iran inatarajiwa kuacha sehemu za mradi huo na badala yake vikwazo vya kiuchumi dhidi ya nchi hiyo vitalegezwa.
Iran imekanusha kuwa mradi wake umekusudiwa kutengeneza silaha za nuklia.
Inasema lengo ni kutoa nishati.
« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment