Latest News

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)

UNIVERSITY OF IRINGA (Formerly Tumaini University-Iringa)
CALL FOR MARCH INTAKE APPLICATION 2017/18
NOW OPEN!
DEADLINE 30/03/2018
CALL 0743 802 615, 0677 048 677Read More

menu

Friday, January 10, 2014

KAMATI MAALUM YA CCM YAKUTANA MJINI ZANZIBAR










Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi, pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja jana, kuhudhuria katika Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.





 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakifahamishana jambo wakati wa kikao cha siku moja cha  Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, katika  Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
 Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) wakipitia mada mbali mbali zilizoingizwa katika makbrasha waliyopewa katika kikao kilichofanyika jana katika ukumbi Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
  








Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi, pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.









Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinnduzi, pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akizungumza na wajumbe wa  kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya CCM (NEC) kilichofanyika jana, Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai. [Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu.]

« PREV
NEXT »

No comments

Post a Comment