Writen by
sadataley
9:01 PM
-
0
Comments
JUMAPILI HII HAPATOSHI KIJITONYAMA LUTHERANI, SOMA MWENYEWE
![]() |
| Baadhi ya wamama wa Tumaini wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ibada ya uzinduzi wa album yao mpya na mabasi mawili ya kwaya hiyo. |
Kwaya hiyo ambayo ilikuwa nchini Afrika ya kusini wiki iliyopita imekuwa katika mazoezi katika usharika wao jijini Arusha wakifanyia mazoezi nyimbo zao za zamani ambazo wapenzi wao wangependa kuzisikia pamoja na nyimbo mpya kutoka katika album yao iitwayo "Nisamehe"lakini pia wanatarajia kuachia surprise moja kwa watu watakaohudhuria.
![]() |
| Wenyeji Uinjilisti Kijitonyama wakienda sawa na Modest Morgan. |
![]() |
| Baadhi ya waimbaji wa Tumaini Arusha wakiongozwa na mwenyekiti wao Dkt. Emanuel Mtangoo upande wa kuume. Habari na Gospel Kitaa |



No comments
Post a Comment