SHANGILIENI KWAYA ARUSHA, INMEONDOKA JANA KUELEKEA AFRIKA YA KUSINI KIHUDUMA, ANGALIA PICHA
Kwaya kongwe nchini ya Tumaini Shangilieni kutoka St. James Anglican Arusha imeaondoka jana kwa ndege ya kampuni ya Fastjet kuelekea nchini Afrika ya kusini kihuduma,ambapo inatarajiwa kurejea nchini siku ya jumanne ijayo. Tutawajulisha zaidi juu ya safari hiyo
No comments
Post a Comment