Writen by
sadataley
1:24 PM
-
0
Comments
BAAADHI YA VIJANA WATAKAO BARIKIWA LEO HII WAKIWA TAYARI KATIKA MAANDAMANO
MSAIDIZI WA ASKOFU MCHUNGAJI BLASTONE GAVILE AKIHUBIRI JANA, MKAZO WAKE UKIWA WAZAZI KUJIKITA ZAIDI KATIKA KUWAANDAA WATOTO KATIKA NAFASI MBALIMBALI
HAPA NI MKUU WA JIMBO LA MAGHARIBI MCHUNGAJI AGNES KULANGA AKIWA NA MCHUNGAJI EMSON SANDAGILA
HAPA NI JOHN NA MERCY WAKIWA TAYARI KWENDA KUBARIKIWA
MWENYE KITAMBULISHO NI MZEE SANGA AMBAYE NI MPIGA PICHA MKONGWE.
WAZAZI NA WALEZI WAKIFUATILIA IBADA HIYO
HAPA NI KIJANA URICK AKISUBIRI ZAMU YAKE IFIKE YA KWENDA KUBARIKIWA
KASISI WA KANISA KUU MCHUNGAJI BRYCESON MBOGO AKITOA MATANGAZO
MCHUNGAJI EMSON SANDAGILA MCHUNGAJI MWENZA AKITOA SALAM KWA WAGENI MBALIMBALI WALIOSHIRIKI IBADA HIYO.
MKUU WA JIMBO LA MAGHARIBI MCHUNGAJI AGNES KULANGA AKITAFAKARI JAMBO
SASA NI ZAWADI KWA WASHINDI KATIKA FANI MBALIMBALI
HAPA NI LIGHTNESS CHAVALLA NA SAUL ISHENGOMA WAKISOMA RISALA MAALUM
"ENENDENI KWA AMANI YA BWANA" NI MANENO YA MCHUNGAJI AGNES KULANGA
No comments
Post a Comment